
Ofisa Msoko wa Cocacola Alfa Joseph Mria akizungumza katika uzinduzi Promotion mpya ya KWEA PIPA NA COCACOLA mjini Mbeya leo.

Mmoja wa watumisjhi wa Cocacola Mbeya Munkwa Songolo akizungumza na wauzaji wa bidhaa za Cocacola Mbeya.

Kikosi kazi cha Cocacola Mbeya nacho hakikuwa nyuma katika uzinduzi huo wa Kwea Pipa na Cocacola na mwisho waliamua kuchapa snap ya pamoja.

Meneja mauzo wa Kanda Robert akiwa katika uzinduzi huo mjini Mbeya leo.
0 comments:
Post a Comment