.JPG)
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwantumu Mahiza (kulia) akipokea mipira 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa huduma za kibenki, Joseph Witts iliyotolewa na benki hiyo kwa ajili ya michezo ya UMISSETA inayotarajiwa kuanza hivi karibuni. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam, leo.
0 comments:
Post a Comment