Shirika la Umeme nchini TANESCo limetangaza rasmi mgawo wa umeme kwa saa 5 kila siku kuaznia leo.
TANESCO imeamua kutangaza mgawo huo baada ya katikakatika ya umeme kwa siku kadhaa kwa nyakazi tofauti jambo ambalo lilikuwa likizua kero kwa watumiaji miongoni mwao wakiunguliwa vitu vyao.
Taarifa iliyotolewa leo na Kaimu Mkurufgezni Mkuu Tanesco Stephen Mabada kwa vyombo vya habari imesema tatizo hilo limetokana na kuharibika kwa mitambo kadha katika vituo vya kuzalisha umeme vya Kidatu, Kihansi, Pangani na kile kipya cha Gesi Ubungo.
Ratiba ya katizo hilo la umeme inataraji kuanza saa 12 jioni hadi saa nne usiku.

0 comments:
Post a Comment