Nafasi Ya Matangazo

January 19, 2010

Jengo la Shule ya Msingi Kinyenze ambalo lipo katik hatua za mwisho kumalizika ujenzi wake na Matarajio ya wanakitongoji hicho kilichopo Kijiji cha Kipera Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ni kupokea watoto Mwezi Machi mwaka huu. Shule hii mpya inajengwa kwa nguvu za wananchi na wanahitaji msaada wa madawti 45 meza tatu na Viti vitatu vya Walimu ili ianze kazi.
Watoto kutoka Kitongoji cha Kinyenze wakirejea shuleni baada ya masomo Kipera. Watoto hawa hutembea takribani kilometa 4 kila siku wakienda kupata elimu.
Posted by MROKI On Tuesday, January 19, 2010 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo