Nafasi Ya Matangazo

January 19, 2010

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Issa Machibya akimwelekeza maeneo yaliyokubwa na Mafuriko Meneja Uhusiano wa NMB, Shy-Rose Banji ofisini kwake mjini Morogoro.
Ramani inayoonesha makambi ya Waathiika wa mafurika Kilosa.
Meneja Uhusiano wa NMB, Shy-Rose Banji akimkabidhi msaada wa vyakula vyenye thamani ya shilingi Milioni 10 Mkuu wa Wilaya Kilosa Halima Dendegu. Kushoto ni Meneja wa NMB tawi la Wami mkoani Morogoro, Emmanuel Bushiri.
Meneja wa Uhusiano wa NMB, Shy-Rose Bnaji akisalimia waathirika katika kambi iliyopo ghala la Mazulia Kilosa baada ya kutoa msaada wa vyakula vyenye thamni ya shilingi milioni 10.
Posted by MROKI On Tuesday, January 19, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo