
Mkurugebnzi wa ITV/Redio One, Bi Joyce Mhavile ameshinda samani za ndani zenye thamani ya sh Milioni 20 kutoka dula la thamani la The Living Room. Kushoto ni Meneja Uendelezaji Biashara Meghan McCall wa duka hilo akimkabidhi zawadi hizo leo.

Miongoni mwa samani hizo ni pamoja na vitu kama hivi...

Kitanda nacho atapata...

Pia seti za makochi na mapambo ya ukutani na vitu mbalimbali. Ushindi huo unatokana na bahati nasibu iliyokuwa ikichezeshwa na duka hilo katika kipindi cha sikuu za X Mass na wateja walio nunua vitu waliingizwa katika droo.
Fr. Kidevu sio thamani ni SAMANI, hiyo it means Furniture.
ReplyDeleteMwenye nacho ataongezewa na....
ReplyDelete