Nafasi Ya Matangazo

January 21, 2010

Mkazi wa Kimamba Wilayani Kilosa, Laurent Kisanza akiziba pancha tairi la baiskeli yake katikati ya pori la Kimamba wakati akitokea Mlali Wilayani Mvomero kununua mbogamboga na kwenda kuziuza huko Kimamba jana.
Shy_Rose Banji alishuka na kumpa maji mzee na kumpa saport kidogo ya kununua mpira mpya wa baiskeli yake.
Hapa babau akishuruku kwa ishara ya dole na Shy-Rose.
Posted by MROKI On Thursday, January 21, 2010 3 comments

3 comments:

  1. Na kweli haya ndio maisha natumaini hapakuwa na wanyama wakali hapo.

    ReplyDelete
  2. aaii sawa sawa mdada nmb kukumbuka wazee kuwapa tafuu.ilaa mimi hapa nilipo miudenda inanitoka aiii .mtoto una shaini si mchezo

    mdau boxini

    ReplyDelete
  3. Shy-Rose - natamani watu wote wangekuwa kama wewe! Wengine hapo wangecheka na kupiga moto mashangingi yao na kwenda zao. Wewe ni msamaria mwema!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo