
Mkazi wa Kimamba Wilayani Kilosa, Laurent Kisanza akiziba pancha tairi la baiskeli yake katikati ya pori la Kimamba wakati akitokea Mlali Wilayani Mvomero kununua mbogamboga na kwenda kuziuza huko Kimamba jana.

Shy_Rose Banji alishuka na kumpa maji mzee na kumpa saport kidogo ya kununua mpira mpya wa baiskeli yake.

Hapa babau akishuruku kwa ishara ya dole na Shy-Rose.
Na kweli haya ndio maisha natumaini hapakuwa na wanyama wakali hapo.
ReplyDeleteaaii sawa sawa mdada nmb kukumbuka wazee kuwapa tafuu.ilaa mimi hapa nilipo miudenda inanitoka aiii .mtoto una shaini si mchezo
ReplyDeletemdau boxini
Shy-Rose - natamani watu wote wangekuwa kama wewe! Wengine hapo wangecheka na kupiga moto mashangingi yao na kwenda zao. Wewe ni msamaria mwema!
ReplyDelete