
Mwanamuziki kutoka Demokrasia ya Kongo Tshala Muana akipunga mkono baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam jana kwaajili ya onesho la Embassy Club E litakalofanyika ijumaa jijini Dar es Salaam.

Mwanamuziki kutoka Demokrasia ya Kongo Tshala Muana akiongozana na Meneja Msaidizi wa Sigara Embassy Eliza kilimbai (kushoto).
0 comments:
Post a Comment