Nafasi Ya Matangazo

December 18, 2009

JB Mpiana akiwa na wadhamini wake kutoka kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) Elizabeth K Ndosi na Joackim Kyula wote  kutoka Sigara Embassy.
JB Mpiana akiwa na Father Kidevu (kulia) na DJ Omy E-Master baada ya kuwasili kwa nguli huyo wa muziki wa dance kutoka DRC. 
JB Mpiana akiwa na wanamuziki wake pamoja na Meneja Msaidizi wa Sigara Embassy, Elizabeth Kilimbai Ndosi (Kushoto kwake) baada ya kuwasili.
Mwanamuziki Mahiri wa  Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo aiishie na kufanya kzi zake nchini Ufaransa JB Mpiana akipunga mkono kutoa salamu baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam 23:54 usiku. Kushoto kwake ni Meneja Msaidizi wa Sigara Embassy, Elizabeth Kilimbai Ndosi.
Posted by MROKI On Friday, December 18, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo