
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Likuvi (MB) akipokea mfano wa hundi ya sh milionmi 10 kutoka kwa Mshauri wa Msoako wa Benki ya NBC, Arden Kitomari (kushoto) ofisini kwake leo kwa niaba ya Uongozi wa Sekondari ya Idodi iliyopo jimboni kwake ambayo bweni lake liliteketea kwa moto. Katikati ni Afisa mawasiliano wa NBC Robi Matiko.
0 comments:
Post a Comment