Kaimu Mkurugenzi wa kampuni ya Swissport, Nyasso Lugusha Gama (kulia) akikata utepe kuzindua jengo jipya lililojengwa kwa msaada wa kampuni yake kwa ajili ya madarasa ya kisasa ya shule ya awali ya watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Makao ya Taifa ya Watoto Kurasini.Jengo hilo lililogharimu Sh.milioni 48, lina ofisi za walimu, ghala na vyoo vya kisasa,lilikabidhiwa kwa Afisa Mfawidhi wa kituo hicho Margaret Mkandawile (kushoto) jijini Dar es Salaam jana.
December 31, 2009

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment