Nafasi Ya Matangazo

December 31, 2009

Baraza la kwanza la Muungano 1964
Mzee rashidi mfaume kawawa akipozi na kikosi cha taifa stars cha miaka ya 80 (samahani, sio kilichofanikiwa kwenda nigeria kucheza katika kombe la afrika). kulia kwa mzee kawawa ni kocha jeff hudson, akifuatiwa na kocha msaidizi Joel Bendera.

Mzee Kawawa pia alipenda sana soka, na hapa alikuwa muamuzi katika moja ya mapambano ya viongozi.


Baraza la kwanza la Mawaziri la serikali ya Tanzania. Kawawa wapili kushoto mstari wa nyuma. Mzee Kawawa akila kiapo cha utii baada ya kumaliza mafunzo maalum ya JKT (Wapili kushoto).


Marehemu Mzee Kawawa akiwa na Mkewwe enzi za uhai wake katika tafrija za marafiki.
Posted by MROKI On Thursday, December 31, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo