
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa marehemeu Mzee Rashid Mfaume Kawawa katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam jana jioni.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa muda mfupi baada ya kutoia heshima za mwisho katika ukumbi wa Karimjee, jijinji Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein akitowa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam jana. Mzee Kawawa amezikwa leo mchana huu nyumbani kwake Madale nje ya jiji la Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment