Mti wa ajabu uitwao 'Nareepol' uliopo nchini Thaland. mti huu unatoa matunda yaliyofanna na mwanamke. Naree ni Mwanke na Pol ni mti kwa kilugha chao huko Thai.
mheshimiwa acha kucheza na watu wenye ufahamu.sio unabandika tu katika blog yako kila unachokiona. yaani na wewe unajiaminisha na kuandika kwa kujiamini kabisa eti mti wa ajab uliopo thailand.tafadhali kaka ukiamua kublog basi fanya research kidogo kwa kila unachobandika.
mheshimiwa acha kucheza na watu wenye ufahamu.sio unabandika tu katika blog yako kila unachokiona.
ReplyDeleteyaani na wewe unajiaminisha na kuandika kwa kujiamini kabisa eti mti wa ajab uliopo thailand.tafadhali kaka ukiamua kublog basi fanya research kidogo kwa kila unachobandika.
kaka nimekubali kweli uoo mti hupo nimeangalia kwenye google.
ReplyDelete