Nafasi Ya Matangazo

December 16, 2009

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Betty Mkwasa, Tuzo ya Mwanamke mwenye mafanikio ambayo Tume hiyo ilidhamini katika kipengele cha habari na mawasiliano kwenye utoaji wa Tuzo za wanawake zilizofanyika Dar es Salaam hivi karibuni. Wanawake 13 walipata tuzo hizo zilizoanzishwa kwa mara ya kwanza Tanzania.
Posted by MROKI On Wednesday, December 16, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo