Nafasi Ya Matangazo

December 31, 2009

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza msiba wa Mzee Rashid Mfaume Kawawa Simba wa Vita aliyefariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo asubuhi.
Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akitangaza msiba wa Mzee Rashi Mfaume Kawawa Simba wa Vita Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Maombolezo siku 7 bendera kupepea nusu mlingoti.
Posted by MROKI On Thursday, December 31, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Mambo ya Sheikh Yahya hayo.

    Akitabirigi si mnamuonaga muongo nyinyi?

    Sasa si mmeamini?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo