Nafasi Ya Matangazo

October 12, 2009

Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizungumza katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa Elimu kwa Watoto wa Kike ulioanzishwa na Gavana wa Benki Kuu (Mwalimu Nyerere Memorial Scholarship Fund) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2009. Kulia ni Gavana wa Benki Kuu, Dr. Benno Ndullu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwaziri Wakuu wastaafu. Eward Lowass (kulia Na Dr. Salim Ahmed Salim katika hafala ya kuchangia mfuko wa maendeleo ya Elimu kwa watoto wa kike9 (Mwalimu Nyerer Memorial Scholarship Fund) kwenye ukumbiwa Benki Kuu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2009.
Posted by MROKI On Monday, October 12, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo