Nafasi Ya Matangazo

October 12, 2009

Shaa akihojiwa na waandishi jijini Nairobi.
Mwanamuziki wa kikazi kipya anayekuja juu nchini Tanzania Shaa akisalimiana na wapenzi wa muziki alipokuwa kwenye tuzo za MTV Music Award Nairobi Kenya mwishoni mwa wiki.Sha alikua mmoja ya wanamziki aliechaguliwa kushinda tuzo hiyo amabpo Dibanj kutoka Nigeria aliibuka mshindi.
AY akiwa anahojiwa na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuingia katika tuzo za MTV Music Award zilizofanyika nchini Nairobi Kenya mwishoni mwa wiki.
Posted by MROKI On Monday, October 12, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo