Nafasi Ya Matangazo

October 09, 2009

Rais wa Marekani, Barack Obama amechaguliwa kuwa mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel 2009 na kuwa Rais wa tatu wa Marekani kutwaa tuzo hiyo.

Watawala wengine walio wahi kushinda tuzo hiyo ni Rais Theodore Roosevelt aliyeipata mwaka 1906 na Rais Woodrow Wilson aliyeikamata 1919.

Tuzo hiyo imetolewa na kamati maalum ya Tuzo hiyo ya Nobel kutoka Norway. Obama ameopata tuzo hiyo kutokana na jitihada zake za kuleta amani na ushirikiano duniani katika kipindi kifupi alichokaa madarakani.
Posted by MROKI On Friday, October 09, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo