
Wakazi wa dar es salaam wakianglia jengo lililoporomoka katika makutano ya mataa wa Zanaki na India leo asubuhi na kutaka kufunika vibarua zaidi ya kumi waliokuwa wakijenga jengo la jirani.

Wasimamizi wa ujenzi katika Jengo jipya katika mtaa wa India na Zanaki wakitoa maelekezo.
0 comments:
Post a Comment