Mungu alizae roho ya marehemu mahala pema amina. Tutaendelea kuwapa habari zaidi.
Katika Ukumbu wa Idara ya Habari Maelezo asubihi hii Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo atazungumza na waandishi juu ya kifo hicho. 
Masnja (nayeruka) wakati wa uhai wake akihudhuria kozi ya Uongozi wa Viwanja vya michezo nchini China.
RIP masanja, tulivyo sisi ulikuwa na ulivyo wewe tutakuwa, jina la bwana lihimidiwe, pumzika kwa amani, napata huzuni sana nikikumbuka ucheshi wako na ukarimu wako pale Tanzan Lotto. jina la bwana lihimidiwe
ReplyDeletehakika jina la Bwana lihimidiwe. tulikupenda massanja lakini mungu kakupenda zaidi. kwa heri ya kuonana
ReplyDelete