Nafasi Ya Matangazo

October 17, 2009

Mkurugenzi wa Kamuni ya Uchapaji ya Mkuki na Nyota Walter Bgoya akizungumza juu ya kitabu hicha mwanadada Hoyce Temu "Nayakumbuka Yote" kilichozinduliwa juzi Dar es Salaam.
Mwanafunzi wa kidato cha sita zanaki Sekondari Elizabeth Yalagala akipanga vitabu hivyo.
Wanafunzi wa Kidato cha sita zanaki sekondari Dar es Salaam, kutoka kushoto, Goodselda Laumuna, Asha Wallady, Elizabeth Yalagala na Cecilia Msuya wakisoma kitabu hicho baada ya uzinduzi.
Wanafamilia waliohudhuria uzinduzi huo.
Mwandishi wa Kitabu "nayakumbuka yote" Hoyce Temu akianesha kitabu hicho kwa waandishi baada ya kuzinduliwa na Waziri wa Maendeleo ya jamii Jinsia na Watoto, Margareth Sitta.
Posted by MROKI On Saturday, October 17, 2009 1 comment

1 comment:

  1. amesimulia fairness/unfairness ya kumpata mshindi wa miss tanzania au hilo 'hajalikumbuka'? ngoja nikisome kwanza isije ikawa ni mradi na sio kwa lengo la kutunza kumbukumbu.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo