Nafasi Ya Matangazo

September 05, 2009

Wazazi wengi hasa kina dada wamekuwa wakikwepa kunyonyesha watoto na badala yake kuwapa maziwa ya kopo ambayo mengi yamegundulika kuwa na madhara kwa afya ya mtoto! Bofya hapa upate vitu zaidi vya baba Tau http://babataublog.wordpress.com/
Posted by MROKI On Saturday, September 05, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Wasilojua mabinti ni kuwa wanaweza kujiepusha na maradhi hatari kama SARATANI YA MATITI kama ambavyo inaelezwa hapa http://www.sciencedaily.com/releases/2007/04/070416193310.htm

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo