Tangazo la TRL lililosababisha mzozo wa abiria hadi kufunga njia
Mmoja wa akina mama akisukumwa na Askari kanzu kumpeleka kituo cha Polisi Kati.
Abiria mwingine akiwa katika heka heka za kukamatwa.
Abiria wakizua mwendesha pikipiki aliyetyaka kupita barabara inayokatiza TRL na Polisi Kati akiamriwa kurudi alipotoka.
Huyu nae alimanusura wamcape. Abiria hawa wa TRL waliokuwa wasafiri na moja ya Treni za kampuni hiyo walilazimika kufunga njia jana kwa saa kadha wakishinikiza Uongozi wa RTL kuwarejeshea fedha zao ama kuwatafutia usafiri baada ya kukwama kituoni hapo kwa siku tatu bila usafiri wa kwenda makwao.
0 comments:
Post a Comment