
Wanariadha wa Tanzania watakaoshiriki kwenye mbio za mita 10,000 leo Jumatatu kwenye mashindano ya riadha ya dunia (kutoka kushoto) Dickson Marwa, Ezekiel Ngimba na Fabian Joseph wakipozi kwa ajili ya picha baada ya mazoezi jana jijini Berlin Ujerumani.
0 comments:
Post a Comment