Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia
viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi
zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
tarehe 22 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akinywa Kahawa inayozalishwa nchini Tanzania wakati akiwahutubia Viongozi pamoja na wageni mbalimbali kwenye Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.

Aidha, Rais Dkt. Samia amepongeza nchi za Afrika kuja pamoja kujadili uendelezaji wa zao hilo na Umoja wa Afrika kuliingiza zao la kahawa kwenye mazao ya kimkakati, hatua ambazo ni muhimu katika kuanza kurejesha hadhi ya Afrika kwenye tasnia ya kahawa duniani.
Rais Dkt. Samia amesema hayo leo katika Mkutano wa Tatu wa nchi 25 Wazalishaji wa Kahawa Barani Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).
Rais Dkt. Samia pia amesema licha ya tasnia ya kahawa kukabiliwa na changamoto anuwai, bara la Afrika limeanza kupiga hatua katika kukabiliana na changamoto hizo. Aidha, ameeleza imani yake kuwa jukwaa hilo la Nchi Wazalishaji wa Kahawa Barani Afrika litawezesha kuunganisha nguvu katika kukabiliana na changamoto zinazoikumba sekta ya kahawa barani Afrika na kuwa nyenzo sahihi ya kufikia malengo waliojiwekea.
Kwa upande mwingine, Rais Dkt. Samia amezitaka nchi za Afrika ziazimie kuwa ifikapo 2035 nusu ya kahawa inayozalishwa barani Afrika iongezewe thamani barani Afrika kabla ya kuuzwa ndani na nje ya bara hilo.
Akifafanua kuhusu manufaa ya zao la kahawa, Rais Dkt. Samia amesema takwimu zinaonesha kuwa manufaa zaidi ya zao hilo yapo kwenye mnyororo wa thamani mzima kuliko kwenye uzalishaji. Hivyo, Afrika inatahitaji kuwa na viwanda vingi zaidi vya kuchakata kahawa na vya kutengeneza bidhaa nyingine zinatokana na mabaki ya zao hili.
Rais Dkt. Samia amesema kuwa kuendelea kusafirisha kahawa ghafi ni kuendelea kusafirisha ajira za vijana zinazohitajika Afrika, kujikosesha mapato zaidi ambayo yanahitajika kwa maendeleo ya bara la Afrika na kumfanya mkulima wa kahawa aendelee kukosa soko la uhakika wa anachokizalisha.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na
viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani
Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano
cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22
Februari, 2025.

Viongozi
pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha
Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe
22 Februari, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea
mabanda mbalimbali ya maonesho ya Kahawa
kabla ya kushiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The
3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akinywa Kahawa
inayozalishwa nchini Tanzania na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kabla ya
ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd
G25 Africa Coffee Summit) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea
mabanda mbalimbali ya maonesho ya Kahawa
kabla ya kushiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The
3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea
mabanda mbalimbali ya maonesho ya Kahawa
kabla ya kushiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The
3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea
mabanda mbalimbali ya maonesho ya Kahawa
kabla ya kushiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The
3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
0 comments:
Post a Comment