Nafasi Ya Matangazo

August 16, 2009

Moto ukiendelea kuteketeza sehemu ya ghala la kuhifadhia rola za karatasi za kutengenezea maboxi katika kiwanda cha Jumbo Packaging Print company’ ambacho ni mali ya MURZAH OIL kilichopo barabara ya Nyerere Dar es Salaam Agosti 16, 2009.
Mwenyekiti wa Kampuni hizo za Muzarh Bwana Zakaria Abdul.
Wafanyakazi wakijaribu kuokoa baadhi ya mali.
Zimamoto la jiji likiwa eneo la tukio.
Moshi ukifuka kwa nje.
Posted by MROKI On Sunday, August 16, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo