Nafasi Ya Matangazo

August 16, 2009

Julitha Ruta akimvisha pete ya ndoa Steven Mhando katika kanisa la St Paul Ukonga Dar es Salaam Agosti 15 2009.
Steven na Julitha wakifuatilia matukio katika tafrija yao iliyofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Dada wa bwana harusi Scholas Mhando akiwamiminia shampeing maharusi na wapambe wao.
Furaha baada ya kumaliza kwa misa ya Ndoa.
Posted by MROKI On Sunday, August 16, 2009 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo