Mwanafunzi wa Chuo cha Kiislam cha An-nujumu, Pilli Abdallah, akisomakwa kukariri kutoka katika kitabu cha Quran JUZUU 20, wakati wa mashindano ya vyuo mbali mbali yaliyofanyika ktika Viwanja vya Mwembe YangaTandika, Dar es Salaam jana.
Mwanafunzi wa Chuo cha Kiislam cha Hidayatul Alfal, Naima Othman, akisomakwa kukariri kutoka katika kitabu cha Quran(masaafu) JUZUU 10, wakati wa mashindano ya vyuo mbali mbali yaliyofanyika ktika Viwanja vya Mwembe YangaTandika, Dar es Salaam jana.
Msenaji wa Kituo cha Ubarozi wa Iran, Mostafa Kanjibar,akimkabidhi Samira Ally,bahasha yenye fedha shilimgi elfu 40, baada ya kushinda kusoma juzuu 10, wakati wa mashindano ya kurani Tandika, jana.
0 comments:
Post a Comment