Nafasi Ya Matangazo

August 12, 2009

Mzee Kingunge Ngombare Mwiru, leo amezungumza na waandishi wa Habari nyumbani kwake Kijitonyama akitolea ufafanuzi suala la waraka wa Kanisa Katoliki. Kingunge amewashangaa viongozi wa Serikali wanaoacha Ilani za chama chao na kuunga mkono Kanisa Katoliki katika Waraka na mwongozo wa Kanisa hilo. Waandishi wakiwa katika mkutano huo.
Mzee Kingunge akifafanua jambo, Kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM, Hamad Masauni Yussuf. Pia aliwapongeza CUF kwa uchambuzi wao wa waraka huo wa Kanisa Katoliki.
Mzee Kingunge Ngombare Mwiru (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Nyumbani kwake Kijitonyama Dar es Salaam jana. Kulia ni Katibu Mkuu wa UVCCM Martine Shegela na kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Hamad Masauni Yussuf.
Posted by MROKI On Wednesday, August 12, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo