Nafasi Ya Matangazo

August 12, 2009

Wakazi wa Morogoro wakipita karibu na rundo la vipande vya magogo vilivyokatwa katwa na kuacha karibu na daraja la Shani mjini hapa kiasi cha kuonekana ni uchafu.
Licha ya Manipaa ya Morogoro kuweka kibao kinachopiga marufuku daladala kupakia au kushusha abiria katika kona ya Hamadiya Hospitali, lakini bado madereva wa daladala wamekuwa wakaidi wa agizo hilo kama walivyokutwa jana.
Posted by MROKI On Wednesday, August 12, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo