Nafasi Ya Matangazo

February 10, 2009


Kesi inayomkabili Abdala Zombe na wenzake nane iliendelea Mahakama kuu kwa Mshitakiwa huyo kutoa ushahidi wake Mahakamani hapo jana na mambo yalikuwa hivi katika mahojiano.

Mahojiano ya Zombe na wakili wake JeromeMsemwa ilikuwa kama ifuatavyo:

Wakili: Unatambua kuwaunashitakiwa kwa kesi gani?

Zombe: Ndiyo, nashtakiwa kwakesi ya mauaji ya watu wanne.

Wakili: Ni kweli kwamba ulihusikakatika kesi hiyo?

Zombe: Si kweli kwa sababu siwafahamumarehemu kabla ya vifovyao na hata wakati wa vifo.

Wakili: Ulikamatwa lini kuhusukesi hii?

Kwa mahojiano hayo matamu yaliyopelekea Zombe kutoka na chizi tafadhali usikose HabariLeo kesho au tembelea tovuti yake http://www.habarileo.co.tz/
Posted by MROKI On Tuesday, February 10, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo