Nafasi Ya Matangazo

February 11, 2009

Wanamuziki na viongozi wa kundi la Mliman Park Orchestra wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuzungumza na waandishi wa habari juu ya uvumi wa kuvunjika kwa kundi hilo lilokuwa likimilikiwa na Shirika la maendeleo la mkoa wa Dar es Salaam DDC.

Uongozi wa bendi hiyo umekanusha kuvunjika kwa bendi hiyo na badala yake ni kuwa DDC imetangaza kujitoa katika kundi hilo ambalo liliichukua tangu 1982 hivyo wao wanaendelea kupiga mziki kama awali lililopoanzishwa mwaka 1978.

Wapenzi na mashabiki wasihofu.
Posted by MROKI On Wednesday, February 11, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo