Nafasi Ya Matangazo

February 12, 2009

Watuhumiwa wa kesi ya mauaji ya muesia, Vinoth Nadhesan na mkewe Komal Bhupendra wakiwa katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana walipofikishwa kusomewa mashitaka yao.
Binti huyu anadaiwa kuolewa takriban miezi miwili iliyopita na awali wazazi wake walimkataza kuolewa na kijana huyo kwakuwa alikuwa ni mgeni jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Thursday, February 12, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo