Nafasi Ya Matangazo

February 12, 2009

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Turiani akinywa maji kwa staili ya kuning'inia katika bomba

Akiendelea kunyonza maji hayo ambayo huenda ni safi lakini si salamaAkibaini kupigwa picha na kuanza kumwangalia mtu aliyekuwa akimpiga picha hizo.

Akaona jamaa bado anapiga akaamua kushuka taratibu aondoke.
Akafika chini na kuangalia pakwenda ....
Alikimbia kuelekea darasani. wahusika wa mamlaka za maji au shule ni vyema kuweka koki katika bbomba hili ili kuzua maji kuharibika hovyo kwa kumwagika na pia kuwatafutia njia mbadala wanafunzi ya kunywa maji safi na salama.
Posted by MROKI On Thursday, February 12, 2009 2 comments

2 comments:

  1. mkubwa mtiririko mzima katika picha hii kwa kweli unafurahisha sana.
    picha imetulia ipasavyo...
    Mdau Ugiriki

    ReplyDelete
  2. Kilichomfanya Dogo huyu kupiga sarakasi zote hizo ni hilo dimbwi kubwa la maji hapo chini. Na yeye alikuwa na kiu basi naona ikbidi atambae na bomba. Ni kweli maji hayo yaweza kuwa safi lakini si salama, halafu sidhani kama inagharimu pesa nyingi kutengeneza hapo.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo