
Wadhamini wa mshitakiwa Amatus Liyumba, Benjamin Nguluguni (kushoto) na Otto Agaton, wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana. wadhamini hawa walifikishwa Mahakamni hapo baada ya mtuhumiwa kushindwa kuripoti kama alivyo amriwa katika sharti lake la dhamana. Swali ni Je Liyumba yupo wapi na hapatikani katika simu yake?
Blog hii imepata tetesi kuwa amelazwa baada ya presha kupnada.
0 comments:
Post a Comment