Nafasi Ya Matangazo

February 18, 2009

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya michezo Tanzania, alipokwenda kuwatembelea kuona maendeleo ya shule hiyo, Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Mlezi wa shule hiyo, Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Shaban Simba pamoja na Mkurugenzi wa Shule Bw.Seleman Mathew.
Posted by MROKI On Wednesday, February 18, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo