Nafasi Ya Matangazo

February 14, 2009

Bondia Fransis Cheka ambaye jana alimtwanga kwa point mpinzani wake Rashid Matumla katika pambano la kuwania Ubingwa wa Dunia mjini Morogoro.
Rasihd Matumla aliyetwanga na Cheka
Cheka akipewa mawaidha na mwalimu wake.
Cheka (kushoto) wakiwindana na Matumla
Ni mawi8ndo na ngumi za kudokoa ndizo zilitawala na kumpa ushindi Cheka.
Mashabiki wa Cheka kuna wakati walishika vichwa wakihisi Matumla atashinda. Fransis Cheka aliyekuwa akipigana katika uwanja wake wa nyumbani Morogoro alishinda kwa ponti 119/118, 119/118 na 119/115. Ni pointi toka kwa waamuzi watatu.




Posted by MROKI On Saturday, February 14, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo