Nafasi Ya Matangazo

February 14, 2009

wapiganaji chipukizi Said Majid (kulai) wa Zanzibar na Joseph Jacob wa Dar e Salaam walikuwa ni miongoni mwa wanamasumbwi wa Kikck Boxing waliosindikiza pambano la Frasns Cheka na Rashid Matumla mjini Morogoro juzi.
Said Jacob akimwangalia kwa gazabu mpinzani wake baada ya kumpeleka chini.
Ilikuwa ni zamu ya Jacob kumwangusha Majid kwa teke kali na hapa alikuwa anasubiria ainuke.
hasira za Majid zilimwadabisha Jacob vikali na kumpa wakati mgumu mwamuzi Emmanuel Mlundwa kuamua pambano hilo ambalo Majid aliibuka mshindi.
Pambano hili lilikuwa ni Maalum la uzito wa Atomic la mizunguko 3.



Sprt
Posted by MROKI On Saturday, February 14, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Hili lilikuwa zuri kuliko hilo la akina matumla....

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo