Nafasi Ya Matangazo

December 01, 2008


Mfanyabiashara wa soko kuku la Morogoro akiupanga samaki waliokanaagwa kwa mawese maarufu kama Nguruka, samaki hao hutolewa Bukoba. Jamaa hawa zamani walikuwa wajkizwalishwa sana kule Kigoma. Ni samaki wakawaida wanaokaangwa kwa mafuta ya mawese na kuhifadhiwa katika matenga makubwa na chumvi nyingi sana ili wasiharibike.
Mimi nawapenda sana hasa ukila Nguruka wa Kuchoma na Ugali.
Posted by MROKI On Monday, December 01, 2008 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo