Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mgeni wake, Waziri Mkuu wa Msumbiji, Luisa Diogo baada ya mazungumzo yao ya Kiserikali, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam November 27,2008.
waziri Mkuu huyu pia atazuru sehemu kadhaa za Visiwa vya Zanzibar, kukutana na Rais Karume na baadae kurejea Dar es Salaam kukutana na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Dar es Salaam.
Duh wanefanana ilembaya...!
ReplyDeleteNa hiyo cheni ya mguu wa kushoto vipi tena???? Mbona anatutia majaribuni watoto wa shangani
du mie na hicho kikuku tu kaniacha hoi kabisa, tehtehe
ReplyDeleteDuh, kikukuuuuuu!
ReplyDelete