Nafasi Ya Matangazo

December 18, 2015

WATU 12 poteza maisha huku wengine 22 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya NEW FORCE ONE namba za usajili T483 CTF walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya leo kugongana na Lori la mbao lililopasuka tairi katika eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Morogoro.


Ajali hiyo imetokea mchana huu na jitihada za kusafirisha majeruhi zinaendelea. FK Blog inatoa pole kwa wote waliofikwa na msiba huo na itawajuza zaidi kuhusiana na ajali hiyo. T




Posted by MROKI On Friday, December 18, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo