Mwenyekiti wa Kongamano la Vijana na Rasilimali, lililofanyika leo RiverSide, Ubungo jijini Dar es Salaam, Christopher Ngubiagai, akifungua mjadala kuhusu mada mbalimbali. Kushoto ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo na watatu ni mtoa mada, Wakili Evod Mmanda ambaye pia ni Mjumbe wa NEC wa CCM. Ngubiagai pia ni Katibu wa CCM mkoa wa vyuo vya elimu ya Juu.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhomgo akitoa mada kuhusu rasilimali ya madini, wakati kwenye kongamano la vijana na rasilimali za taifa, leo Ubungo jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu wa CCM, Vyuo vya elimu ya Juu, Christopher Ngubiagai ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa kongamano hilo na watatu ni mwanasheria Evod Mmanda aliyetoa mada kuhusu rasimu ya Katiba.
Wakili Mmanda akitoa mada kwenye kongamano hilo
Ngubiagai akizungumza kwenye kongamano hilo
Baadhi ya viongozi wa Vijana wa CCM kutoka mkoa wa vyuo vya elimu ya juu wakiwa kwenye kongamano hilo.
Baadhi ya wadau wakiwa kwenye kongamano hilo
Baadhi ya wadau wakifuatilia mada kwenye kongamano hilo
Wadau wakifuatilia hoja mbalimbali kwenye kongamano hilo
Baadhi ya wawakilishi kitoka vyombo mbalimbali vya habari wakichukua matukio kwenye kongamano hilo
Meza ya usajili wa waalilkwa waliofika kwenye kongamano hilo. Imetayarishwa na theNkoromo Blog
0 comments:
Post a Comment