Kampuni ya GS1 Tanzania National Limited ni kampuni inayojishughulisha na na utoaji wa huduma za Barcode kwa Bidhaa za Kitanzania. Kampuni hii Mwaka huu ipo ndani ya Banda la Viwanda na Biashara viwanja vya Maonesho ya Nane Nane Nzuguni Mkoani Dodoma wakinadi shughuli zao na kuhamasisha wananchi hasa wafanya biashara wadogo na wakubwa nchini kusajili biashara zao na huduma hiyo ya kisasa na kimataifa zaidi.
Kutoka kushoto ni Pius Mikongoti, Halima Kaungwa na Mabamba Maregesi ambao ndio wapo bandani hapo na wananchi mnakaribishwa sana kupata huduma hiyo.
0 comments:
Post a Comment