Nafasi Ya Matangazo

November 04, 2012

MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi  huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama barabarani mjini Moshi ambao majina yao hayakufahamika wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) katika kiktuo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace aliyeshikwa na trafiki hao.//Picha na Nakajumo James.
Posted by MROKI On Sunday, November 04, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo