Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi wa Benki ya
Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakiweka jiwe la msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi
wa barabara ya Arusha Minjingu maeneo ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani
Monduli, Mkoani Arusha.
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanahabari wa
mkoa wa Arusha baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa
barabara ya Arusha Minjingu maene ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani
Monduli, Mkoani Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu
Mstaafu Mhe Frederick Sumaye wakati wa mkutano wa hadhara mjini Katesh mkoani
Manyara
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi wa mkoa wa Arusha baada ya kuweka jiwe la msingi
kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Arusha Minjingu maene ya kijiji
cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.
Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania,
Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier akipanda mti kama kumbukumbu baada ya Rais
Kikwete kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara ya
Arusha Minjingu maene ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani
Arusha.
Sehemu ya barabara ya Minjingu-Babati-Singida iliyozinduliwa
na Rais Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Mkazi wa Benki
ya Maendeleo ya Afrika Tonia Kandiero wakifurahia baada ya kuzindua barabara ya
Minjingu-Babati-Singida nje kidogo ya mji wa Babati Mkoa wa Manyara.
Anayeshuhudia kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na kulia ni Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji) Dkt Mary Nagu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Mkazi wa Benki
ya Maendeleo ya Afrika Tonia Kandiero na viongozi wengine wakikata utepe kuzindua barabara ya Minjingu-Babati-Singida
nje kidogo ya mji wa Babati Mkoa wa Manyara. Anayeshuhudia kushoto ni Waziri wa
Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na kulia
ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji) Dkt Mary Nagu
0 comments:
Post a Comment