Nafasi Ya Matangazo

April 18, 2010

Mgosi akimwambia kipa wa Yanga kuwa yeye "hii kichwa achana nayo baba"
Juma Kaseja "Tanzania one" akionesha ufundi wake langoni
Joseph Owino (kushoto) amkikaba Shadrack Nsajigwa
Obren Cuckovic akiruka bila mafanikio na kuruhusu goli la kwanza
Mfungaji wa goli la kwanza la Simba Uhuru Selemani akiondoka na gozi
Michael Barasa (Simba) akikabana na Nadir Haroub wa Yanga.
Kikosi cha Simba ambacho kimepokea Kombe lake la Ubungwa wa Soka Tanzania bara baada ya kuilaza Yanga magoli 4-3 katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.

Posted by MROKI On Sunday, April 18, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo