Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge na Kiongozi wa kamati ya ukaguzi wa mradi wa ujenzi kutoka Jamhuri ya Watu wa China Yang Ling wakionesha hati ya makubaliano ya ujenzi wa hospitali mpya moyo mara baada ya kusaini hati hiyo jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge na Kiongozi wa kamati ya ukaguzi wa mradi wa ujenzi kutoka Jamhuri ya Watu wa China Yang Ling wakisaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa hospitali mpya moyo jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wafanyakazi wa JKCI pamoja na wataalamu wa mradi wa ujenzi kutoka Jamhuri ya Watu wa China wakati wa hafla fupi ya kusaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa hospitali mpya moyo jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wataalamu wa mradi wa ujenzi kutoka Jamhuri ya Watu wa China wakisikiliza wakati wa hafla fupi ya kusaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa hospitali ya moyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akipokea zawadi kutoka kwa Kiongozi wa kamati ya ukaguzi wa mradi kutoka Jamhuri ya Watu wa China Yang Ling mara baada ya hafla fupi ya kusaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa hospitali mpya moyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Kitengo cha Afrika ya Kusini na Mashariki, Wakala wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Kiuchumi (AIEC) chini ya Wizara ya Biashara ya China Li Qing wakati wa hafla fupi ya kusaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa hospitali mpya ya moyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kitengo cha Afrika ya Kusini na Mashariki, Wakala wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Kiuchumi (AIEC) na wataalamu wa mradi wa ujenzi kutoka Jamhuri ya Watu wa China wakati wa hafla fupi ya kusaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa hospitali mpya moyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

***************
Na Mwandishi maalum – Dar es
SalaamTaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Wataalamu kutoka China wasaini hati ya makubaliano ujenzi wa hospitali mpya ya moyo itakayoleta mabadiliko makubwa katika utoaji wa huduma za kibingwa na ubingwa bobezi kwa wagonjwa wa moyo nchini.

.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)

0 comments:
Post a Comment