Nafasi Ya Matangazo

January 16, 2026

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Januari 16, 2026 ameongoza kikao kazi cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mipango na Uwekezaji, Fedha , Nishati,  Uchukuzi, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mambo ya Ndani ya Nchi, Viwanda na Biashara pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na baadhi ya Wakuu wa Mikoa, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Pichani, Waziri Mkuu akizungumza katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Januari 16, 2026 ameongoza kikao kazi cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mipango na Uwekezaji, Fedha , Nishati,  Uchukuzi, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki , Mambo ya Ndani ya Nchi, Viwanda na Biasharapamoja na  Mwanasherial Mkuu wa Serikali na baadhi ya  Wakuu wa Mikoa, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Pichani, Waziri Mkuu akizungumza katika mkutano huo.  Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi na kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Jim Yonaz.
Washiriki wa kikao cha kazi cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mipango na Uwekezaji, Fedha , Nishati, Uchukuzi, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mambo ya Ndani ya Nchi, Viwanda na Biashara pamoja  na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na baadhi ya Wakuu wa Mikoa, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Pichani, Waziri Mkuu akizungumza katika mkutano huo. 
Posted by MROKI On Friday, January 16, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo